Waigizaji 20 wa Nollywood wanaojulikana sana na wapenzi wa Afrocinema
-Raia wa Nigeria wanajulikana kwa maisha ya kujishaua, matukio ya kushangaza, maisha ya hali ya juu na ushirikina
-Haya yoye yakijumuishwa kwenye filamu huwanasa watazamani katika maisha yao
Kwa miaka mingi, filamu za Nollywood zimekumbwa na changamoto lakini zimeendelea kuwa na waigizaji wacheshi, weledi na wenye talanta za kipekee.
Nollywood imekuwa sana katika nyanja ya filamu na inaorodheshwa ya tatu duniani kuwa na dhamani ya juu.
Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindi zinapochipuka
Habari Nyingine: Mkenya wa kwanza seneta Australia azuru nchini na kutekeleza jambo la kushtua
Viwango vizuri vya filamu hizo vimewapa sifa waigizaji hao wa magharibi mwa Afrika kutajika kote duniani.
Habari Nyingine: Pasta ahamishwa kwa nguvu Baba Dogo kwa kuwakataza waumini kula nyama!
Sekta hiyo ya filamu za Nollywood ina waigizaji wakongwe na maarufu. Hawa hapa ni waigizaji maarufu wa Nollywood:
Habari Nyingine: Penzi lisilo mipaka! Mwalimu aolewa na mwanafunzi wake wa zamani (picha)
1.Ramsey Noah

Huyu ni mwigizaji anayetafutwa sana nchini Nigeria na amefanya maigizo ya mwanzo kwenye filamu nyingi.
2.Pete Edochie

Peter Edoche anadhaniwa kuwa mwigizaji mwenye talanta ya hali ya juu zaidi barani Afrika. Alianza kuigiza miaka ya 1980s alipoigiza kama Okonkwo kwenye filamu ya kuigiza kitabu ya Chinua Achebe cha ‘Things Fall Apart’.
3.Desmond Elliot

Desmond Elliot ameigiza zaidi ya filamu 200 zikiwemo soap opera na vipindi vya runinga.
Habari Nyingine: Raila ni mwoga sana lakini mwenye vitisho vingi – Mutahi Ngunyi
4.Rita Dominic

Rita Dominic ama uzoefu katika uigizaji na ameigiza filamu nyingi na kusifiwa sana.
5.Genevieve Nnaji

Nnaji alianza taaluma ya uigizaji akiwa na miaka minane katika vipindi maarufu vya soap opera. Alianza kuigiza kwenye sekta ya filamu akiwa na miaka 19 katika filamu zilizowavutia wengi.
Ameigiza kwenye filamu nyingi kufikia sasa na kusifiwa kama mwigizaji aliyetia fora zaidi.
6.Van Vicker

Habari Nyingine: Muimbaji wa Tanzania - Ray C - asema angependa kuolewa na Rais Uhuru, atoa sababu
7.Osita Iheme(Pawpaw)

Osita Iheme anayejulikana kwa kuigiza kama ‘Pawpaw’ katika filamu ya ‘Aki na Ukwa’ pamoja na Chinedu Ikedieze.
8.Chinedu Ikedieze(Aki)

Anajulikana sana kuigiza na Osita Iheme kwenye filamu nyingi hasa ile walioanza nayo ‘Aki na Ukwa’.
9.Omotolo Jalade

Omotolo ni mwigizaji wa Nigeria, mwimbaji na mwanaurembo. Ameigiza kwenye filamu zaidi ya 300 na kushinda tuzo nyingi.
Habari Nyingine:
10.Olu Jacobs

Alishirikishwa kwenye vipindi vya runinga vya Uingereza na filamu za kimataifa.
11.Patience Ozokwor

12.Nkem Owoh

Alishiriki kwenye filamu ya ‘Osuofia in London’ ya mwaka wa 2003 na anajulikana kwa kuimba wimbo wa ‘I Go Chop Your Dollar’ inayozungumzia wizi wa pesa kwa malipo ya mbele.
13.Jim Lyke

Anajulikana kama mvulana mkaidi kwenye filamu. Upende usipende, mwigizaji huyo anaendelea kupata sifa tele licha ya kukumbwa na kashfa kadhaa maishani mwake.
14.John Okafor

Alijulikana na wengi katika maigizo yake kama ‘Mr. Ibu’ kwenye filamu ya ‘Mr.’
15.Tonto Dikeh

Aliigiza filamu kwa jina ‘Dirty Secret’ ambayo ilizua utata miongoni mwa raia wa Nigeria kwa kuwa na sehemu kadhaa zenye viashirio vya ngono ambayo haikuwa imekubalika katika sekta ya filamu nchini Nigeria wakati huo.
16.Ini Edo

Alianza taaluma ya uigizaji mwaka wa 2000 na kushiriki kwenye filamu zaidi ya 100. Mwaka wa 2013, alitangazwa kuwa mwamuzi katika shindano la ‘Miss Black Africa Uk Pageant’.
17.Emeka Ike

Mwigizaji huyu alisitisha kuigiza kwa zaidi ya miaka minane. Mwisho, alionekana akiigiza mwaka wa 2010. Tangu hapo, Emeka ambaye amesomea uhandisi hajaonekana kwenye filamu za hivi punde.
18.Mercy Johnson

Baada ya kumaliza shule ya upili, alifanya majaribio ya kuigiza kwenye filamu ya ‘The Maid’, tukio ambalo lilimtosa katika uigizaji.
Tokea hapo, alipata fursa ya kuigiza kwenye filamu za Hustlers, Baby Oku in America, War in the Palace na filau zingine nyingi.
19.Kalu Ikeagwu

Ikeagwu Alianza kuigiza mwaka wa 2005 katika kipindi maarufu cha runinga ‘Domino’. Alianza kwa kuigiza ‘Put Out The Houselights
20.Zack Orji

Aliigiza filamu ya kwanza mwaka wa 1991 kwa jina ‘Unforgiven Sin’.
21.Mike Ezuruonye

Anajulika kwa filamu za ‘Broken Marriage’, ‘Critical Decision’ na zingine nyingi. Amewatumbuiza mashabiki kwa miaka mingi kupitia ujuzi wake wa kuigiza.
Read ENGLISH VERSION
Una maoni? Una taarifa ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke
Wanaume wanaowadhulumu wanawake dhidi ya wanawake wanaodhulumiwa – Kwenye TUKO TV
Subscribe to watch new videosChanzo: TUKO.co.ke
ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2Bvzmeinmdia4B6hZhmrpqhl57HorbIZmlpZaeWeq%2B7y6WwsKefmXq4rc2apqOtnJ64orrAZqqappFiu6J51pqnnqaqnnq4rYyanaunk567prnAZ5%2BtpZw%3D